Shilole a.k.a Shishi Baby amesema baada ya kuachana na Nuh Mziwanda bado
jimbo la moyo wake halijapata mgombea mpya wa kuziba nafasi yake.
Zimekuwepo tetesi kuwa Shishi anatoka na msanii mwingine wa Bongo fleva,
Nyauloso zamani Bonge la nyau, huku wengine wakisema kuwa ana uhusiano
na msanii wa Uganda, Eddy Kenzo.
“Mimi sijapata mpenzi mpya mimi nipo tu, mpenzi mpya nitasema
mwenyewe kwa mdomo wangu mimi,” Shishi ameeleza kupitia 255 ya XXL. “
nifanye interview niseme jamani sasa nina mpenzi mpya, lakini saizi
msisikie rumors zinazotokea subirini mimi niwahakikishie.” Alisema Shishi.
Kuhusu Eddy Kenzo Shishi amedai kuwa ni kama kaka yake lakini
wanawasiliana sana, na kuongeza kama endapo urafiki wao utazaa penzi
basi atatangaza rasmi.
January 12, 2016
Shilole: Msisikilize uzushi, kama nikipata mpenzi mpya nitasema mwenyewe
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment