KAMA kawa, kama dawa. Mpaka Home Next Level inazidi kuchanja mbuga kwa kuwatembelea mastaa mbalimbali Bongo ambapo wiki hii tulimtembealea muuza nyago aliyepata kujitangaza vyema katika wimbo wa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ uitwao Akadumba, Asha Salumu `Kidoa’.
Kila uchwao mrembo huyo anazidi kujiongezea umaarufu kutokana na picha zake kali zinazoonesha alivyoumbika kusambaa mitandaoni.
Kidoa anaishi peke yake maeneo ya
Kinondoni- Mkwajuni jijini Dar. Mpaka Home ilifanikiwa kumpiga picha
tofauti mrembo huyo akiwa anafanya shughuli zake za nyumbani kama kupiga
deki, kuosha vyombo, kununua bidhaa gengeni na kufanya kazi nyingine
nyingi za nyumbani kama zinavyojieleza:
No comments:
Post a Comment