![????????????????????????????????????](http://cdn2.yatosha.com/wp-content/uploads/2015/12/2.Harakati-zikiendelea..jpg)
Wananchi wakifanya usafi kwenye maeneo yao eneo la Kijitonyama Corner Bar hadi kuelekea maeneo ya Sinza Afrika Sana.
Zoezi hilo ni muendelezo wa kauli ya Rais Dk. John Magufuli ya kuwataka wananchi kufanya usafi kwenye maeneo yao ili kuweza kuondokana na ugonjwa wa kipindupindu kabla ya siku ya maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru, Desemba 9 ambapo mwaka huu itakuwa ni siku ya kufanya usafi.
NA DENIS MTIMA/GPL
No comments:
Post a Comment