January 28, 2015

LULU ATAJWA KUWA MSANII WA BONGO MOVIE ANAELEIPWA PESA NDEFU BONGO KULIKO WOTE




Kwa TAFITI ISIYO RASMI mpaka sasa huenda huyu
ndio MUIGIZAJI anaelipwa pesa nyingi kuliko
YOYOTE hapa TANZANIA!!! (Sizungumzii
PRODUCERS) Nazungumzia kama utamuhitaji
kwenye filamu yako moja kama MUIGIZAJI tu...
ambapo kikawaida waigizaji wengi kiwango chao
kwa wanaocheza main characters ni kuanzia LAKI
NANE mpaka MILIONI TANO.. ambapo hapo kati
sasa kupanda na kushuka inategemea na Producer
anaekuchezesha ama muigizaji mwenyewe
THAMANI yake.. Lakini UNAFAHAMU kuwa
ELIZABETH MICHAEL kiwango chake cha chini
unapomuhitaji kwenye filamu yako ni MILIONI
15!!??? KUMBUKA hiki ni kiwango cha chini
unapohitaji kumchezesha nje ya kampuni yake ya
PROIN PROMOTIONS....!!! (kutegemea na script)
kwa zaidi tukutane SAA TATU KAMILI usiku huu
kwenye TAKE ONE on CLOUDS TV ambapo
tutakuwa na mkurugenzi wa PROIN PROMOTIONS
Bwana JOHNSON LUKAZA ambae ataongelea
mkataba wake na LULU na mengi mengineyo
kuhusiana na TASNIA ya filamu na kampuni yake
kwa ujumla..

No comments:

Post a Comment