Ommy Dimpoz anatarajia kufanya ngoma na aliyewahi kuwa bosi wake wa takriban miaka minne, Khalid Mohamed aka TID kupitia Top Band. Taarifa hiyo inavunja tetesi zilizowahi kuandikwa kuwa wawili hao hawana uhusiano mzuri.
Akizungumza na Global TV, Ommy amesema ataendelea kumshukuru TID kwakuwa ndiye aliyempa nafasi ya kuonesha kipaji chake.
“Sasa hivi tuna ratiba ya kutoa nyimbo, so si unajua namshukuru kwa sababu alinipa nafasi,” alisema hitmaker huyo wa Tupogo.
“Unajua katika maisha, kila kitu kina chanzo, kwa hiyo ni lazima ushukuru. Siku zote katika mwanzo usi-focus kwenye hela zaidi, focus kwenye kujifunza kwahiyo nimejifunza vitu vingi kutoka kwake. Kwa band watu wote tuliokuwa kwenye band kwa sababu mnajua band mnakuwa watu wengi, kupitia kwake watu wengi nilijuana nao na ndo watu hao waliokuja kunisaidia.”
January 28, 2015
HATARI SANA! Collabo ya Ommy Dimpoz na TID inakuja!
Tags
# LIFE STYLE
# UDAKU
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
UDAKU
Labels:
LIFE STYLE,
UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment