Mwanamuziki machachari wa Bongo Flava Ali Kiba Amefunguka kwenye kipindi
cha Sporah Show kuwa toka ajue kitu mapenzi hajawahi tongoza msichana
na hajui kutongoza..Amedai wanawake wote ambao amewahi kuwa nao
kimapenzi hakuwatongoza bali ilianza tu kama ushikaji na mwisho kujikuta
wameshakuwa wapenzi bila kujua....
Kwa sasa Ali Kiba anatoka na Mrembo Jokate...Kumbe na Hakutongozwa eehh!

No comments:
Post a Comment