![]() |
| JACK WOLPER |
Staa mrembo wa Bongo Movies, Jacqueline Woper ambaye alikuwa msatari wa
mbele kumpigia kampeni aliekuwa mgombe urasi kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye uchaguzi wa mwaka jana, Mh.
Edward Lowassa amekanusha habari iliyoripotiwa na moja ya magazeti
‘pendwa’ kuwa kwa sasa staa huyo ameshajitoa CHADEMA na hataki tena
kuitwa mtoto wa Lowassa ‘Jacqueline Lowassa’ kama alivyo jiita kipindi
kile cha kampeni.
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Wolper aliweka picha ya gareti hilo na kuandika haya.
Hapana labda wolper feki me nichadema paka kesho kutwa namtondogoo. …pipooooooozi ��✌✌✌✌✌✌#namagazeti nyumbani kwakukuza habari simnajuagaa. Utasikia tafarani eti jacq chadema ameimwaga���� #broo kweli uliimba


No comments:
Post a Comment