Wengi tunamjua Dada huyu, Anaitwa Hadhara Charles, ni maarufu sana kwa kucheza na mpira haswa kupiga danadana jijini Dar es salaam. Hivi karibuni alikutana na msala wa ajabu baada ya kumwagiwa maji moto mgongoni kwenye mzozo wa kifamilia. Hivi tunavyoongea amelazwa Hospitali ya Mwananyamala wodi namba 3 akisumbuliwa na maumivu makali.
Tupia Neno moja tu la pole kwake na kumtakia apate nafuu mapema
No comments:
Post a Comment