Hii iliwashangaza wengi, ilikuwa pale
Escape One, Mikocheni jijini Dar ambapo Moze Iyobo na mchumba wake,
Aunt Ezekiel walitinga kula bata.
Ili kuwarusha roho watu si Aunt akamvuta
Moze na kumpiga bonge la busu, basi unaambiwa dansa huyo wa Diamond
akabaki ameduwaa kuonesha lile busu lilimdatisha kinona. Mambo ya mahaba
niue hayo!
No comments:
Post a Comment