Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Dkt.John Pombe Magufuli katika kasi
yake ya kutumbua majipu hatimaye,amevunja bodi yote ya Bandari na
kutengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi mkuu wa bandari Bw.Awadhi Massawe
(Pichani), Mwenyekiti wa bodi ya bandari pamoja maofisa 8 wa bandari .Ameagiza wote wawekwe chini ya ulinzi kwa ajili ya uchunguzi
Rais pia amemsimamisha kazi
katibu mkuu wizara ya uchukuzi Bw.Shabani Mwinjaka.
Mpekuzi blog
No comments:
Post a Comment