#YALIYOJIRI
Chama cha CCM kimeanza kutoa elimu ya mpiga kura kwa watanzania
wanaohudhuria mikutano yake ya kampeni huku mgombea urais kupitia chama
hicho Dr John Pombe Magufuli akiwataka madiwani wa CCM watakaochaguliwa
na wananchi baada ya October 25 kurekebisha sheria ndogondogo (by laws)
za halmashauri zao ili kufuta kile alichokiita kodi na ushuru kero kwa
wananchi wanyonge.
No comments:
Post a Comment