#YALIYOJIRI
Mgombea wa nafasi ya urais kwa kitiketi ya Chadema anayeungwa mkono na
vyama ANIvinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Edward Lowassa jana
ameingia mjini Monduli kwa kishindo na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa
jimbo hilo huku shughuli zikisimama kwa muda.
No comments:
Post a Comment