October 6, 2015

Mkutano wa Lowassa Monduli; Mwenyekiti wa CCM (W) avua gamba na wanachama 12647 warudisha

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Monduli na zaidi ya wanachama elfu 12647 wamekihama chama cha mapinduzi na kujiunga na CHADEMA.... Hii imejiri leo katika mkutano wa mgombea wa Chadema anayeungwa mkono na Ukawa Ndg. Edward Lowassa...

Sasa ni wazi CCM imezikwa rasmi Monduli... Na bado kuna msururu wa maelfu ya wanachama wa CCM wanarudusha kadi zao mpaka sasa.... Inakadiriwa karibu wananchama wa CCM zaidi ya elfu 20,000 wanaweza kurudisha kadi zao leo usiku....

No comments:

Post a Comment