Labda tudadavue namna napata shida sana kupata majawabu ya ahadi hizi.
Amesema sijui mambo makubwa 11 ambayo ndani ya siku 100 yatakuwa
historia. Jamani labda tujaribu kuwa tunamkumbusha ahadi hizi anaweka
kumbukumbu kichwani au anatoa tu mdomoni?
Sijaona hata Marekani hawajawahi kutoa ahadi kama hizi. Kwanza bajeti ya serikali ya mwaka huu imeshapitishwa.
Pili vyanzo vya hela vyote vimeshatengewa matumizi maalum. Mapato ya kodi yote.
Tatu elimu bure anayosema kuanzia january itaanzaje? Kwa sababu shule
hazina walimu wa kutosha kwanza, shule hazina madarasa ya kutosha, shule
zinahitaji materials na mambo meengi ya maandalizi. Sasa elimu toka
Nursery mpaka university kutoka bajeti ipi?
Walau huyu anayesema mpaka Secondary level nadhani anajitambua sana na ni mkweli.
October 6, 2015
Wachumi Tuambieni, Ahadi za Lowassa Ndani ya Siku 100 Zinatekelezekaje?
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
NEWS
Labels:
NEWS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment