September 14, 2015

ZITTO KABWE..ATAJA RASMI WAKATI ATAKAOGOMBANIA URAISI WA TANZANIA NI HUU HAPA

Taswira na Nuru ya chama,Kiongozi Mkuu wa ACT amekaririwa na Azam TV katika kipindi cha siasa cha Funguka kuwa bado ana ndoto za kuwa rais wa Tanzania.Amesisitiza kuwa 2020 atagombea urais kupitia chama chake.MY TAKE:Kama zigo Mnalo ACT,hivi kweli hiki ni kipindi cha kutangaza nia?

No comments:

Post a Comment