September 15, 2015

AY Akutana na Mdogo Wake Kwa Mara Kwanza Baada ya Miaka 16

Rapper Ambwene Yessayah aka AY amekutana na mdogo wake wa kiume kwa mara ya kwanza baada ya miaka 16.AY ameiambia 255 ya XXL kupitia Clouds FM kuwa kuonana na mdogo wake huyo kunaenda sambamba na siku ambayo baba yake mzee Yessayah anatimiza miaka 12 toka afariki dunia.

“Tulikuwa hatujawahi kuwasiliana na wala kuongea kwenye simu na vitu vilikuwa complicated kidogo,” amesema. Ni mdogo wangu na leo ilikuwa siku special kuonana naye na pia leo ni siku ya kumbukumbu ya Mzee Yessayah. Mimi mwenyewe binafsi nimekuwa na furaha kuonana na mdogo wangu wa kiume.”

No comments:

Post a Comment