
Picha zinaonesha jinsi gani wanafunzi wachuo kikuu cha Ambrose Ali University kilichopo nchini Nigeria wana utamaduni wa kusherekea mahafali katika mtindo wa tofauti ambapo kwa miaka kadhaa sasa wamekuwa wakifanya hivyo, kwakujipaka vumbi la mkaa lilochanganywa na mafuta machafu.


No comments:
Post a Comment