Hii ni kali nyingine mpya imetokea Marekani, juzi kumefanyika mashindano ya kumtafuta mbwa jike mrembo anayevutia zaidi kuliko wshinengine aina ya wodog.
Taarifa inasema mbwa walitakiwa kukunja sura ili waonekane vizuri.
Mwanamama Jainer Grainer ndiye aliyefanikiwa kushinda baada ya mbwa wake kuibuka mrembo zaidi.
Mwanamama Jainer Grainer ndiye aliyefanikiwa kushinda baada ya mbwa wake kuibuka mrembo zaidi.
No comments:
Post a Comment