May 7, 2015

ANGALIA PICHA:UONE ATHARI YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DAR NA PWANI JUZI HADI LEO



Eneo la Stendi Kuu ya Mabasi Bagamoyo lilivyokumbwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha.
Maji yakitapakaa eneo la Stendi Kuu ya Bagamoyo hivyo kusababisha usafiri na biashara ndogondogo kusitishwa kwa muda.
Gari likiwa limesombwa na mafuriko jijini Dar.

Waliokuwemo kwenye gari hilo ni dereva na bosi wake ambao hawakufahamika majina lakini walifanikiwa kujiokoa.

No comments:

Post a Comment