January 28, 2015

Vdeo Mrembo Tiara Arudi Tena, Atuma Video Nyingine kwa Diamond Akiwa Anaoga na Kusema Yupo Tayari Kufanya Nae Project Buree





Kuwa Staa Raha Sana: Baada ya Diamond Kutumiwa Video na Mrembo wa Kenya akimtaka Amchukukue yeye bila Malipo huku akijichezesha kwa kimahaba kwenye hiyo video, Diamond inaonekana hakupata Ujumbe wa kwanza sawa sawa , sasa Mrembo amerudi tena na kali zaidi ya ile , Mrembo huyo ajulikanae kama Tiara Ameitumia Udaku specially Video Hiyo akiwa bafuni akioga huku wimbo wa Bebe Cool unaitwa i will love you everyday ukilia kwa nyuma ili Diamond Amuone Vizuri kwani ile Video ya Mwanzo ilikuwa na Giza...



Mrembo huyo pia amesema yeye ni Mwanamuzi na Angependa kufanya Project na Diamond Platunumz

Jionee mwenyewe hapa mimi Sina Mengi : 
Bonyeza Hapa  


No comments:

Post a Comment