January 29, 2015

LEMUTUZ AKATA WATU VIDOMO WALIOSEMA ANAGOMBANIA CHUPA YA COCA WAKATI HANA JINA KWENYE HATI YA NYUMBA, ANGALIA HAPA



"Ok huwa sipendi maneno matupu napenda vitendo zaidi kuna mtu amenitumia ujumbe kwamba badala kugombea jina lako kuwa at Le Kopozzz pigania jina lako liwepo kwenye kumiliki HATI YA NYUMBA., namhakikishia aliyenitumia ule ujumbe kwamba HATI YANGU YA KUMILIKI SHAMBA LA EKA 5 NA NYUMBA hii hapa na huu ni mmoja wa urithi nitakaowaachia watoto wangu na bado naendelea kuchacharika na maisha kusudi ninunue hii apartment ninayoishi hapa downtwon na ile apartment yangu ya Changombe......sisi waKristo Bibilia inasema Baba mwenye busara huwachia watoto wake mali za urithi ndio maana nimekataa kuwa baba mwenye nguo ila baba mwenye majumba hahaha U know jamani USIKU MWEMA SANA LOVE U ALL! - le Mutuz

No comments:

Post a Comment