September 4, 2014

MAKALIO FEKI YAMUUMBUA STAA HUYU MBELE YA KADAMNASI SWETA YAMSAIDIA SHUKA NAYO HAPA

Wahenga walisema ajali haina kinga, jionee kwa
Blac Chyna ni rafiki yake kipenzi wa Kim Kardashian na pia ni mama mtoto wa rapper Tyga. Mdada huyo ambaye zamani alikuwa ni stripper, amekuwa ni gumzo kwa muda mrefu kutokana na makalio yake ambayo watu wengi wanasema ni ya bandia yaani fake.
Lakini mrembo humbo ambaye kwa sasa ni model, alikanusha uvumi huo na kusema makalio yake ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Yaliyojiri hivi karibuni, ni kwamba makalio hayo yalianza kuporomoka taratibu wakati anatembea na alipigwa picha akijaribu kuyafunika na sweta.


No comments:

Post a Comment