September 4, 2014

EXCLUSSIVE!! VIDEO YA YAHWE YA GUMZO MJINI..SELEOUS BAND WAFANYA YAO KWENYE VIDEO TAZAMA PICHA 20 HAPA NI SHIDAH
























Hizi ni baadhi tu ya picha za utengenezaji wa video mpya kabisa ya nyimbo za dini ambayo audio yake imefanya vizuri sana katika soko la muziki wa gospel afrika mashariki .Video ipo chini ya usimamizi mkubwa wa madirector wawili  kutoka  LG  production ambapo Ni Liston pamoja  Godlisten kitomari ambao wamekuja kufanya mabadiliko katika music wa gospel Tanzania ..video hii Ya YAHWE imeeimbwa na muimbaji mkongwe wa musiki wa injili Godywill Linnus ambapo bendi ya seleous ilifanya vitu vyake ndani video hii kama unavyoona  picha hapo juu zote wakionyesha utaaalamu wa njinsi ya kumrudishia  mungu  utukufu .......lets go   ha ha ha ha ha twende pamoja yahweeeee yahweeee wewe ni mungu........ Kama unataka kufanya video,ya album yako au unaharusi sendoff kipindi cha tv unataka rekodi unataka kukodi kamera wasiliana na Godlisten Kitomari kwa sim na whatsap kwa No 0656872530.....0763002037...

Asante kwa time yako stori na picha James ulomy wa INFO IS HOT  ..whatsap 0713124040

No comments:

Post a Comment