September 4, 2014

KWELI ELIMU HAINA MWISHO VIDEO MKALI KENYA VERA SIDIKA AAAMUA KURUDI SHULE TAZAMA SEXY PHOTO ZAKE HAPA KABLA YA SHULE

Bootylious anayeongoza kwa mgongo hapa Afrika Mashairiki, Vera Sidika aka Vee ameamua kurudi shule baada ya kukacha mwaka mmoja bila kusoma, Vee ni video vixen katika ngoma kama P Unit 'You Gay' na CMB Prezzo 'My Gal', aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook kuwa anarudi shule ili kumalizia kile anachosemea katika chuo cha Kenyatta nchini Kenya baada ya ku-make mkwanja kupitia umbo lake matata. 
"The 1 year gap I took off school. . Time is up I must get this degree.
Back to school.
Staying focused
Happy new month sweethearts"




No comments:

Post a Comment