Msanii wa filamu Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Antu Lulu’.
Utashangaa sana kwamba, hayo yalisemwa na Anti Lulu mwenyewe juzi alipozungumza na gazeti hili kuhusu maisha anayoishi kwa sasaLulu alisema: “Jamani, kama ni kubadilika najitahidi. Hata Mchungaji Christopher wa TAG, Kinondoni kwa Mchungaji Swai amekuwa akiniambia nirudi kanisani akaniombee.
‘Antu Lulu’ akipozi.
Unajua yule ndiye aliyenilea kiroho nikiwa nasoma Sunday School pale, sasa anaposoma habari zangu anaumia, lakini sasa nimebadilika sana.”
No comments:
Post a Comment