September 18, 2014

HAYA NDIO WALIOFANYA AUNT EZIKIELI NA CASSIM MGANGA,..KULE UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI ..


 Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.
 Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC

 Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
 Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC
 Cassim Mganga akipata picha nje ya mjengo mweupe wa Obama

 Aunty Ezekiel akipata picha nje ya mjengo wa Obama
 Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga
  Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga
  Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga

No comments:

Post a Comment