Binti
mmoja anayejulikana kwa jina la Jesca ambaye ni mfanyakazi wa Longido
Mountain Lodge amekutwa amejinyonga katika hotel ya Longido Mountain
Lodge na kuacha ujumbe kuwa kifo chake kisihusishwe na mtu yeyote
Amesema
amejinyonga kwa ridhaa yake mwenyewe.Katika ujumbe huo, ametaja majina
ya watu anaowadai na kuagiza walipe madeni yake kabla ya mwili wake
kusafirishwa kwao pamoja na namba za Mama yake mzazi.
"Mimi
Jesca Reinald Elisante Leo tarehe 29 , 03 , 2016 nimeamua kujinyonga
kwa ridhaa yangu mwenyewe hakuna mtu yeyote anayehusika na kifo changu
na hizi ni namba ya Mama yangu,0672740439.
Ninao wadai
Mama Diana 33,000/=
John Memory card 4 GB
Boss Mshahara 60,000/=
wanao nidai
Zai 20,000/=alipwe na ninao wadai wahakikishe wanalipa kabla sijarudishwa kwetu.
NB:HAKUNA ANAYEHUSIKA NA KIFO CHANGU.
Ndugu zangu nawapenda sana
vitu vyangu vyote vipelekwe kwetu
Jau Kwenye Kuni."
March 31, 2016
Home
/
Unlabelled
/
Kutumia Kamba Huku Longido Soma Hapa Barua ya Binti Aliyoandika Kabla ya Kujiua Kwa Kujinyonga Kwa Kutumia Kamba Huku Longido
Kutumia Kamba Huku Longido Soma Hapa Barua ya Binti Aliyoandika Kabla ya Kujiua Kwa Kujinyonga Kwa Kutumia Kamba Huku Longido
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment