March 29, 2016

#Habari:Watu 10 wamenusurika kufa kwa kuungua moto


#‎Habari‬:Watu 10 wamenusurika kufa kwa kuungua moto baada ya nyumba yao iliyoko katika kata ya Ndala halmashauri ya manispaa ya Shinyanga mjini kuungua moto unaodhaniwa kusababishwa na shoti ya umeme leo majira ya saa tatu asubuhi na kusababisha hasara ya vitu vya ndani vikiwemo Vitanda,Makochi na Makabati ya nguo.

No comments:

Post a Comment