Kila anachokifanya Vanessa Mdee katika muziki wake ni biashara na kinalenga kwenye faida zaidi.
Muimbaji
huyo ambaye ameachia video ya wimbo Niroge hivi karibuni, amekiambia
kipindi cha Friday Night Live cha EATV kuwa, anapenda kuvaa nguo fupi
ili kutangaza brand yake, na hatimaye impe dili la matangazo kwa
wabunifu wa mavazi.
“Ukweli ni huu, wasanii for a long time in the past, wasanii wa kitanzania hawajajua na kutambua brand yao,” alisema Vanessa
Aliongeza,”Mi
brand yangu mi nataka ndani ya miaka miwili napigiwa simu na Balmain,
na Lui V, nataka dersigners wakubwa wa dunia wanitumie kutangaza bidhaa
yao kwa sababu wanaamini nina brand yangu kubwa na zinaendana, so nina
malengo , na if im gonna offend anybody im sory”,
No comments:
Post a Comment