Nyota njema uonekana asubuhi,mtoto wa rais mwenye Ikulu yake Madale
pembeni kidogo ya jiji la Dar es salaam Tiffah au mtoto Tee amepata dili
la kusoma bure kutoka shule ya ushuani wanakokula burger saa nne na
kutumia kengere za umeme kwenda mapumziko ,Tanganyika international
school (TIS) kwa kipindi chote na huku kumfanya awe balozi wa shule hiyo
lkn ubalozi huo kuwa siri mpaka mtoto atakapoanza shule.
Mtoto Tee anakuwa moja ya watoto wachache wasiotokana na familia za
kifisadi kusoma shule yenye swimming pool lenye kiwango cha olympic.
Lkn habari zinadai wakina dada wanaopenda attention mjini Wema na Jokate
baada ya kusikia habari hizi walijaribu kuzunguka shule kadhaa hapa
town kuona kama na wao wanaweza kupata dili kama hilo kwa watoto wa king
Kiba ili kwenda sambamba huku baadhi ya shule zikidai ubalozi wa Tembo
unamtosha kabisa King huyo wa coke studio.
Inadaiwa pia Diamond ataenda Uganda next month kushoot video ya wimbo
mpya ambao Zari ameimba kiitikio na dada yake Diamond amefanya intro
Chanzo: Msaga Sumu/Jamii forums
Toa Maoni yako

No comments:
Post a Comment