Habari zilizotufikia hivi punde kutoka
Tabora zinaarifu kua basi la Taqbir namba za usajili T 230 BRJ lililokua
likitokea jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Geita limepata ajali
majira ya saa 2 usiku maeneo ya Shelui Wilaya ya Iramba mkoani Singida
katika barabara kuu ya Singida-Tabora kuelekea Igunga.
Shuhuda wetu anasema ajali hiyo imesababisha vifo na majeruhi kadhaa baada ya kugongana na Lori la mafuta na kuharibika vibaya.
Shuhuda wetu anasema ajali hiyo imesababisha vifo na majeruhi kadhaa baada ya kugongana na Lori la mafuta na kuharibika vibaya.
No comments:
Post a Comment