Habari
zilizotufikia usiku huu zinaarifu kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha
katika ajali mbaya iliyotokea baada ya basi la abiria la Takbir lenye
namba za usajili T 230 BRJ lililokuwa likitokea jijini Dar es Salaam
kwenda Mwanza kugongana na lori eneo la Shelui, kijiji cha Kizonzo
omkoani Singida.
December 2, 2015
Sad News: Basi la Takbir Lagongana na Lori Picha zote za ajali hiyo zipo Hapa
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment