*PAMECHIMBIKA! Habari ikufi kie kwamba bifu jipya mjini kwa sasa ni kati ya
wauza nyago (video queens) wawili kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva,
Gift Stanford Giggy Money’ na Asha Salumu ‘Kidoa’ kila mmoja akijiona yupo
juu kuliko mwenzake. *
[image: 891]kizungumza na Ijumaa Wikienda kupitia Global TV Online, Giggy
alidai kuwa yeye ni mkali na habebwi kama ilivyo kwa Kidoa hivyo siyo levo
yake.
Alipotafutwa Kidoa hakupatikana kujibu mapigo ya Giggy ambaye amekuwa
akimchana Kidoa mara kadhaa.
No comments:
Post a Comment