Mrembo
na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi
asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo
alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya VIBE.
Alipoulizwa
na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye
kabati lake, “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya.
Hatari sana hii.
-bongomovies
No comments:
Post a Comment