December 28, 2015

Baada ya Askofu Gwajima Kumkana Lowassa Laivu, Dkt. Slaa Amtaka Gwajima Awaombe Radhi Maaskofu Pamoja na Watanzania.

Baada ya Askofu Gwajima kusema kuwa hakuwa akimuunga mkono Lowassa, Dkt. Slaa amtaka awaombe radhi Maaskofu pamoja na Watanzania.
Asema hakutegemea Askofu Gwajima kumkana hadharani Lowassa

No comments:

Post a Comment