Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Anne Makinda, akimfariji mke wa marehemu.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe (kulia) akiteta jambo na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuber Kabwe wakati wa kuuga mwili wa Filikunjombe.
Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akimfariji mke wa marehemu, Sarah Filikunjombe wakati wa kuuaga mwili katika Hospitali ya Lugalo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo kuwafariji wafiwa wakati wa kuuaga mwili wa Filikunjombe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete akipita mbele kutoa heshima ya mwisho katika jeneza la Filikunjombe.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda akimfariji mke wa marehemu, Sarah Filikunjombe.
Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ambeye pia alikuwa rafiki mkubwa wa marehemu akimfariji mke wa marehemu.
No comments:
Post a Comment