May 5, 2015

Patcho Mwamba: Hakuna Staa wa Kike Ana Nyota Kama ya Wema Sepetu, Ila Dhambi Yake ni Moja..


Staa wa Bongo movies na mwanamziki wa Fm Academia Patcho Mwamba funguka kuwa staa mwennzake wa bongo movies, Wema Sepetu ana nyota kali zaidi ya mastaa wote wa kike wa hapa Bongo, Pacho ameyasema hayo akiwa anajibu swali aliloulizwa kwenye mahojiano maalumu na Bestizzo "Je unahisi Wema halitendei haki jina lake au kuna sehemu anakosea?"

''Kwanza tuseme ukweli wa Mungu hamna staa wa kike ana nyota kama ya Wema Sepetu, ni star ni star ni star ni star sana upande wa wanawake wote ndani ya bongo ila dhambi yake moja ni kuanika sana maisha yake... akiwa na mpenzi jamani mpenzi wangu ndio huyu hapa akiachana nae ni rahisi watu kujua...''

No comments:

Post a Comment