September 10, 2015

Diamond apata nomination ya MTV Europe Awards kwa kishindo...Mashabiki wa Ali Kiba Watia Aibu

Msanii na hifadhi ya taifa Diamond Platinumz amepata nomination ya best African act katika tuzo za MTV Europe awards zitakazofanyika Milan Italy.


Diamond amepita bila kupingwa pamoja na Davido, Yemi Alade, na Aka uku imebakia nafasi moja ya nominee ambapo ushindani ni kati ya Casper nyovest, wiz kid, DJ Arafat, K.o na stone boy ambao mshindi atapatikana kutokana na kupata tag nyingi za mashabiki.#inominatecaspernyovest 

Wakati huo huo Katika hali ya kuhuzunisha na kustabisha mashabiki wa kiba wameamua kulilia nomination za MTV Ema kwa kuanzisha tag zao eti nomintee Kiba wakati kiba video ya chekecha haijawahi pigwa MTV

No comments:

Post a Comment