May 11, 2015

P Square wameandika nini kuhusu collabo na Diamond Platnumz, Kiko Hapa.


Wasanii ambao wametajwa kuongoza kwa utajiri kwenye orodha ya wasanii matajiri zaidi Nigeria P Square wamekamilisha kazi iliyowaleta pamoja na Diamond Platnumz kutoka Tanzania, wimbo huu ni wa Diamond na postya P Square imeonyesha wazi kuwa ni collabo waliyoombwa na mashabiki zao kwa muda sasa.
Screenshot_2015-05-10-00-03-41
Screenshot_2015-05-10-00-04-00Pia bonyeza hapa ku Subscribe FahamuTv kuona interview Zingine. Asante Kwa Ushirikiano,Bonyeza hapa kumfahamu Zaidi Sammisago

No comments:

Post a Comment