May 11, 2015

PICHA 5 LIVE KUTOKA KWENYE MAZISHI YA MTOTO WA MWALIM NYERERE MAREHEMU JOHN NYERERE!









Hivi ndivyo alivyoandika Charles Makongoro Nyerere ..  Asanteni sana wote mliokuja kutufariji kama familia na wale mnaoendelea kuja asanteni sana. Mwili wa marehemu John Nyerere, umeishawasili nyumbani Msasani , heshima za mwisho zinaendelea kutolewa kwa mjibu wa ratiba. Hatuna cha kuwalipa wote kwa kutufariji hata kwa ujumbe, mungu awabariki sana.
crdt facebook/Charles Makongoro Nyerere

No comments:

Post a Comment