Mwanafunz wachuo cha st john dar-es-saalam anashikiliwa na jeshi la police jana mchana baada ya kukutwa na tuhuma ya kujifungua mtoto na badae kumtia Ktk sink la choo kwakujaribu kukwepa aibu kwa wenzake na jamii iliyomzunguka.
NINI MAONI YAKO JUU.YA UNYAMA HUU??
SHARE NA MWENZAKO ATOE MAONI YAKE...
No comments:
Post a Comment