April 9, 2015

BREAKING NEWS !! Mabasi ya Ngorika na RATCO yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo



Name:  IMG-20150409-WA0004.jpg
Views: 0
Size:  92.1 KB
Name:  IMG-20150409-WA0003.jpg
Views: 0
Size:  149.7 KB

Name:  IMG-20150409-WA0005.jpg
Views: 0
Size:  110.3 KB

Taarifa nilizopata hivi punde ni kwamba basi la NGORIKA na RATCO yamegongana uso kwa uso eneo la Msata na kusababisha vifo kadhaa.

Nitaendelea kuwajuza...

=========== Updates ===========

Mpaka sasa maiti kumi zimeshatolewa huku jitihada zaidi zikiendelea kujua kama bado wapo ambao wamo ndani ya magari hayo yaliyogongana uso kwa uso au laa.

Picha hizi ni kwa hisani ya Mtandao wa Mabalozi wa Usalama barabarani Tanzania (RSA).taarifa hizi kwa msaada ya JF

No comments:

Post a Comment