Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wastara Juma ambae amefungua biashara ya kuuza pamba amewashukuru wanamuziki Ally Kiba na Abdul Kiba kwaku tembelea duka lake na kumuunga mkono.
“Yeeeeeeeeah au sijui yioooooo hhhhha kulitaja hili neno linahitaji kipaji mwenye kulitamka ni mwenye kulibuni couz linatokea kooni kwa ubora wa hali ya juu hhhha mwenye kuliweza ni king kebekebe linanikoshaje asante Ally Kiba na Abdul Kiba kwa kunisaport kwa kununua bidhaa zangu mzee wa chekecha na pita mbele kama umewahi kupenda na kunitendwa asanteni sana- Wastara aliandika.
Imekaa poa sana hii, hongera sana Wastara kwa kuwa mjasiliamali .
Mzee wa Ubuyu
No comments:
Post a Comment