Heshima kwenu mabibi na mabwana.
Nimekua nikijiuliza mara kwa mara kuhusiana na suala la usagaji kwa wasichana bila kupata jibu stahiki.Baadhi ya wasichana wanadai kwamba kuachwa na wapenzi wao mara kwa mara kunachangia kwa kiasi kikubwa wao kujiingiza katika mapenzi ya jinsia moja,
wengine wanadai kwamba shule za boarding zinawasababishia kujiingiza katika mambo haya kwani muda mwingi wanakua wao wenyewe tu bila kujichanganya na wavulana.
Nini maoni yako wewe mwanajamvi,karibuni wakinadada muweze kutupa ukweli wa hili jambo,wavulana pia mnaruhusiwa kuchangia chochote ili tupate mawazo tofauti tofauti.
Asanteni
No comments:
Post a Comment