March 14, 2015

Ajali Mbaya Nyingine Tena: Basi la Osaka Raha Lapinduka Usiku wa Kuamkia Leo Huko Dodoma



Ajali mbaya ambayo imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya CBE Dodoma. Basi la Osaka Raha ambalo lilikuwa linatoka Mwanza kuelekea Dar. 
Chanzo cha ajali hiyo ni gari kubwa aina ya semi-trela lilikuwa limekata trela lake katikati ya barabara kuu inayoelekea Dodoma Inn, na basi hilo inasemekana lilikuwa spidi sana na bila kujua kuwa katikati kulikuwa na trela hilo na katika jitahada za kujaribu kulikwepa liliingia kwenye mtaro na kugonga mti ambao.
Inasemekana hakuna aliyepoteza maisha ila majeuhi ni wengi na wamekimbizwa katika hospitali!



CRDT KANDL YETU

No comments:

Post a Comment