February 15, 2015

SAD NEWS# Baba wa mwanamuziki Dully Skyes Mzee Abby Sykes amefariki dunia


BURIANI:Baba wa mwanamuziki Dully Skyes Mzee Abby Sykes amefariki dunia Leo katika Hospitali ya Muhimbili.
Mwenyezi Mungu kampenda zaidi tumpe pole Msanii Dully Skyes na tumuombee baba yake apumzike mahali pema peponi.
R.I.P Mzee Sykes.

No comments:

Post a Comment