Kijana mmoja ajulikanaye kwa jina John
Maduhu wa kijiji cha Pandagichiza, Wilaya ya Shinyanga vijijini kaamua kujinyonga baada ya matokeo ya kidato cha nne yaliyotoka jana kumjia vibaya.
Kaka wa marehemu alisema kuwa baada ya matokeo kutoka JOhn alitoweka nyumbani na baada ya kutafutwa ndo haya yamempata ndugu yetu alazwe mahali pema peponi

No comments:
Post a Comment