February 18, 2015

HIZI NDIZO HARUSI 7 AMBAZO, ZIMEFUNGWA NDANI YA MAJENEZA JUZI SIKU YA VALENTINE JUMAMOSI#CHEKI HAPA



Ndoa BankokMiongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.
Ndoa Bankok
Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.
Ndoa Bankok
Ndoa Bankok 

Chanzo: Daily Mail


Read more: http://www.jijiletutz.com/2015/02/kali-ya-mwakaangalia-hawa-wachumba.html#ixzz3S4ifGRhb

No comments:

Post a Comment