February 18, 2015

HII NDIO PICHA ....YA LULU AMBAYO IMEINGIA KWENYE REKODIHARAKA ICHEKI HAPA



Kujiamini na kuwa na mvuto halisi ni vitu anavyo jivunia msanii wa maiizo Lulu kama anavyoonekana kwenye baadhi ya picha zake, Watoto wa mjini wanasema ni #Natural. Hii picha aliweka saa chache baada ya siku ya wapendanao imekuwa mvuto sana mtandaoni kwa msuko wake kichwani na ujumbe wake kwenye nguo aliyovaa.
lulu 1 lulu

No comments:

Post a Comment