January 24, 2015

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF PITER MHONGO AJIUZULU RASMI LEO MCHANA...SOMA HAPA


Tayari katangaza Kujiuzulu.

Aliyekua Waziri wa Nishati na madini Sospeter Muhongo Amejiuzulu Wadhifa wake wa Uwaziri Katika mkutano wake wa waandishi wa habari alio uitisha hii leo.

Mapema leo hii Waziri Muhongo alikuwa ameitisha mkutano na Waandishi wa habari ambapao ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake huku akisema kuwa haikuwa shinikizo ila ameona baadhi ya kshafa zimeenda kwake na hvyo...haoni sababu ya kubakia kwenye kiti hicho ngoja ampishe mwenzake akiongoze.................... 

No comments:

Post a Comment